Dodoma FM

Kitendawili cha kisima cha Nyoka kwa wakazi wa Chang’ombe

15 April 2026, 6:08 pm

Wananchi wa eneo hilo hawaelewi hadi leo nyoka huyo alitoka wapi na alikwenda wapi.Picha na Fahari ya Dodoma.

Baada ya eneo hilo kutengwa kwaajili ya makazi ya watu eneo hilo la kisima cha nyoka lilifukiwa kwakati wa upitishaji wa barabara katika mtaa huo.

Na Yussuph Hassan.
Hadithi ya uwepo wa nyoka katika kisima hicho cha nyoka ambacho kinaelezwa katika historia kuwa kulikuwa na nyoka mkubwa alie ishi ndani ya kisima hicho lakini hadi leo wananchi hawaelewi Nyoka huyo alitoka wapi na alienda wapi baada ya kufukiwa kwa kisima hicho.