Dodoma FM

Mshikamano wa walimu na wazazi kutokomeza utoro mashuleni

4 August 2026, 17:01

Wazazi wa hamasishwa kuonesha ushirikiano kwa walimuili kutokomeza utoro wa wanafunzi shuleni. Picha na mtandao

Dickson Dede Mwenyekiti wa Kijiji Cha Mguba amesema kuwa changamoto ya umbali imekuwa chanzo cha utoro Kwa wanafunzi licha ya kuendelea kuhamasisha jamii kujitolea ujenzi wa sekondari itakayo ondoa kadhia hiyo ya utoro.

Na Victor Chigwada.                      

Imeelezwa mshikamano iliyopo baina ya walimu na wazazi wa Kijiji cha Mguba imekuwa njia urahisi ya kupunguza wimbi la utoro wa rejereja kwa wanafunzi wa sekondari licha ya kutembea umbali mrefu

Wamesema Moja ya sababu za utoro ni wanafunzi kutumia muda mwingi kutembea mpaka kufikia shule ilipo Kata ya Iringa Mvumi

Lakini walimu na wazazi wamejitahidi kuhamasisha umuhimu wa watoto kwenda shuleni na kupunguza namba ya utoro shuleni

Sauti ya walimu na wazazi