Dodoma FM
28 September 2026, 17:19

Je, jamii ina mchango gani katika kupinga unyanyapaa kwa watu wenye ulemevu?
Tuangazie jinsi unyanyapaa unavyosababisha msongo wa mawazo kwa watu wenye ulemavu .
Mariam Matundu amezungumza na kijana ambaye alikuwa akipitia unyanyapaa kutokana na hali yake ya ulemamvu na kupelekea kupatwa na msongo wa mawazo.