Dodoma FM

Je, wasichana wanauelewa wa kutosha kujikinga na mimba za utotoni?

1 October 2026, 16:50

Picha ni mwanafunzi amabaye hakupata elimu ya uzazi kuhusu kujikinga na mimba za utotoni. Picha na East Afika Tv.

Makala inalenga kuchunguza iwapo watoto wa kike wana uelewa wa kutosha kuhusu namna ya kujikinga na mimba za utotoni, ikiwemo kupata elimu sahihi ya afya ya uzazi

Na mwandishi wetu

Makala hii imeandaliwa na Anwary Shabani alifanya mazungumzo na Dkt Francis Mbwilo kutoka UMAT, Ikiwa inalenga kuchunguza iwapo watoto wa kike wana uelewa wa kutosha kuhusu namna ya kujikinga na mimba za utotoni, ikiwemo kupata elimu sahihi ya afya ya uzazi, kujua madhara ya mimba za utotoni na namna ya kufanya maamuzi salama ili kuepuka changamoto zinazoweza kuathiri elimu, afya na maisha yao ya baadaye na wazazi wanamchango gani katika kuhakikisha wanapata elimu kujikinga na mimba za utotoni.