Dodoma FM

Wakazi wa Chisamila na Manzase kuondokana na kero ya barabara

24 October 2023, 11:58 am

Picha ni barabara hiyo ya Chisamila na Manzase. Pichas ns Mindi Joseph.

Bajeti ya ujenzi, ukarabati na matengenezo ya barabara vijijini na mijini imekuwa ikiongezeka kutoka Shilingi bilioni 272.56 mwaka 2020/21 hadi Shilingi bilioni 722 katika mwaka wa fedha 2021/22 sawa na ongezeko la asilimia 185.

Na Mindi Joseph.

Zaidi ya millioni 269 zimetumika katika ujenzi wa Barabara yenye urefu wa  kilomita 10 kutoka Manzase hadi Chisamila ili kuondoa adha iliyokuwepo kwa wananchi hasa kipindi cha masika.

Muonekano wa Barabara hiyo kwa sasa baada ya ujenzi kufanyika kwa ujenzi huo.

Diwani wa kata ya Manzase John Mika anasema

Sauti ya Diwani wa kata ya Mazanse John Mika .
Picha ni Diwani wa kata ya Manzase aliomgea na Dodoma Tv. Picha na Mindi Joseph.

Akizungumza mwenyekiti wa kijiji cha Manzase anasema bado changamoto ya hasa msimu wa masika ipo huku akiomba ujenzi wa kiwango cha lami ufanyike.

Sauti ya mwenyekiti wa kijiji cha Manzase .