udumavu
24 October 2023, 11:58 am
Wakazi wa Chisamila na Manzase kuondokana na kero ya barabara
Bajeti ya ujenzi, ukarabati na matengenezo ya barabara vijijini na mijini imekuwa ikiongezeka kutoka Shilingi bilioni 272.56 mwaka 2020/21 hadi Shilingi bilioni 722 katika mwaka wa fedha 2021/22 sawa na ongezeko la asilimia 185. Na Mindi Joseph. Zaidi ya millioni…
24 July 2023, 2:32 pm
Walimu watakiwa kuboresha mazingira ya shule kwa kupanda miti
Na Bernad Magawa Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Bahi Mheshimiwa Donald Mejitii amewaagiza walimu wa shule za msingi wilayani Bahi kuhakikisha wanaboresha mazingira ya shule mpya zilizojengwa kupitia fedha za BOOST pamoja na zile za zamani kwa kupanda miti…
1 June 2023, 5:38 pm
Mradi uchimbaji visima vya maji kunufaisha wakazi Nzuguni
Mradi huo wenye mikataba minne una thamani ya sh. Bilioni 4.8. Na Mindi Joseph. Wakazi 37,929 katika kata ya Nzuguni mkoani Dodoma wanatarajia kunufaika na utekelezaji wa mradi wa uchimbaji wa visima vya maji unaotarajiwa kukamilika mwezi Agosti mwaka huu.…
21 February 2023, 1:23 pm
Uongozi umetoa pongezi na shukrani kwa shirika lisilo la kiserikali
Shirika lisilo la kiserika la Innovation of Africa limepongezwa na Uongozi wa kata ya Chiboli kwa juhudi zake wanazozifanya za kutatua changamoto. Na Victor Chigwada. Uongozi wa kata ya Chiboli umetoa pongezi na shukrani kwa shirika lisilo la kiserika la…
18 January 2023, 2:33 pm
Mvumi Misheni waishukuru serikali kukamilika kwa shule ya sekondari
Na; Victor Chigwada. Diwani wa Kata ya Mvumi Misheni Bw.Kenethi Chihute ameishukuru Serikali kwa msaada wa fedha zilizo elekezwa katika miradi mbalimbali ndani ya Kata yake Chihute amesema kuwa kutokana na fedha hizo wamefanikiwa kuboresha upande wa miundombinu ya sekondari…
12 October 2022, 11:04 am
Miganga walalamikia ubovu wa Barabara
Na; Benard Filbert. Wakazi wa kijiji cha Miganga wilayani Chamwino wamelalamikia Ubovu wa miundombinu ya Barabara kuwa kero inayosababisha baadhi ya huduma za msingi kupatikana kwa tabu. Hayo yameelezwa na wakazi wa kijiji hicho wakati wakizungumza na Taswira ya habari…
27 May 2022, 3:22 pm
Wakazi wa Magaga waiomba serikali kuwatatulia changamoto ya barabara
Na;Mindi Joseph. Wananchi wa kitongoji cha Magaga wameiomba serikali kuwatatulia changamoto ya miundombinu ya Barabara Kutoka Magaga kuelekea Mvumi pamoja na kuwajengea Daraja. Wakizungumza na taswira ya habari wamesema changamoto hii inawaathiri katika shughuli zao za maendeleo na wameomba Serikali…
27 August 2021, 1:24 pm
Zaidi ya asilimia 42 ya watoto Nchini wenye miaka 0 hadi 5 wamedumaa kutokana na…
Na ;Fred Cheti . Inaelezwa kuwa zaidi ya watoto 130 hupoteza maisha kila siku kutokana na lishe Duni hii ni kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2020 kutoka shirika la SEMA TANZANIA linalojihusisha na usimamizi wa haki za watotoPia inaeleza…