Dodoma FM

Wananchi watakiwa kutambua umuhimu wa matumizi ya nishati safi

11 July 2023, 7:08 pm

Baadhi ya wakazi wa jiji la Dodoma wakizungumza na Dodoma Tv kuhusu matumizi ya Nishati safi. Picha na Thadei Tesha.

Nini sababu ya watu kushindwa kutumia nishati safi na badala yake kuendelea na matumizi ya kuni na mkaa?.

Na Aisha Shaban.

Wakati serikali ikiendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi na rafiki kwa mazingira baadhi ya wakazi wa jiji la Dodoma wamekuwa na maoni tofauti juu ya matumizi ya nishati hiyo.

Dodoma tv imefanya mahojiano na baadhi ya wakazi wa jiji la Dodoma ambapo kwanza nilianza kwa kuwauliza je nini sababu ya watu kushindwa kutumia nishati safi na badala yake kuendelea na matumizi ya kuni na mkaa?

Sauti za wananchi.
Afisa maliasili wa Jiji la Dodoma Bw. Vedasto Mlinga akizungumza na Dodoma Tv. Picha na Thadei Tesha.

Kufuatia hali hiyo inanilazimu kufika katika ofisi za maliasili jijini Dodoma ambapo nakutana na Bw Vedasto Mlinga Afisa maliasili wa Jiji la Dodoma  hapa anaeleza juu ya umuhimu wa matumizi ya nishati safi na rafiki kwa mazingira.

Sauti ya Afisa Maliasili.

Lakini ni kwa namna gani ofisi ya maliasili inaendelea kutoa elimu kwa jamii juu ya suala hilo?

Sauti ya Afisa maliasili.