Dodoma FM

Fahamu maajabu na uvamizi wa Tembo katika vijiji

20 September 2023, 3:29 pm

Picha ni wakazi wa Kijiji cha Ng’ome wakiwashangaa Tembo waliofika kijijini hapo. Picha na Fahari ya Dodoma.

Je ni mbinu gani nzuri zinazo tumika kuwarudisha Tembo hifadhini pindi wanapo ingia katika makazi ya watu ?

Na Yussuph Hassan.

Fahari ya Dodoma leo imezungumza na Afisa wanyamapori jiji la Dodoma hapa anaeleza jinsi Tembo wanavyoingia katika vijiji na namna gani wamekuwa wakiwarudisha katika hifadhi wanazotoka.