Dodoma FM

RUWASA na CBWSO Kondoa kupunguza vyombo vya maji kutoka 44 hadi 10

15 November 2023, 5:07 pm

Picha ni Mkutano Mkuu Wa Nusu Mwaka Wilyani Kondoa Uliowakutanisha Wadau Wa  Maji  Pamoja Na Vyombo Vya Watoa Huduma Ya Maji Ngazi Ya Jamii Cbwsos.Picha na Nizar Mafita.

Mkutano huo utasaidia kuboresha upatikana wa huduma ya maji wilayani humo.

Na Nizar Mafita.

Wakala Wa Maji Safi Na Usafi Wa Mazingigra  Vijijini  Wilaya Ya Kondoa Kwa Kushirikiana Na Ruwasa   Mkoa Wa Doddoma Pamaoja Na Vyombo Vya Watoa Huduma Ya Maji Ngazi Ya Jamii Cbwso S Wamejadili  Kupunguza   Vyombo Vya Maji   Kutoka Vyombo  44  Mpka Kufikia Vyombo 1o Wilyani  Kondoa

Hayo  Yamepitishwa Katika Mkutano Mkuu Wa Nusu Mwaka Wilyani Kondoa Uliowakutanisha Wadau Wa  Maji  Pamoja Na Vyombo Vya Watoa Huduma Ya Maji Ngazi Ya Jamii Cbwsos,    Akifunguwa Mkutano Huu Mgeni Rasmi Mkuu Wa Wilaya Ya Kondoa Dr Khamisi Mkanachi Amesema Kufanyika Kwa  Mkutano Huo Kutasaidia Kufanya Maboresho Ya Huduma Ya Maji

Sauti ya Mkuu Wa Wilaya Ya Kondoa Dr Khamisi Mkanachi

Akieleza Dhima Kuu Ya Mkutano Huu  Meneja Rusawa Wilaya Ya Kondoa Eng Majid Mtil  Ni Kuwajengea Uwezo  Jumuiya Za Cbwso Huku Akisema  Wanaziunganisha Jumuiya Hizo Kwa Kurahisisha  Uendeshaji Wa  Jumiya

Sauti ya Eng Majid Mtil .
Picha ni Wadau Wa  Maji  Pamoja Na Vyombo Vya Watoa Huduma Ya Maji Ngazi Ya Jamii Cbwsos wakiwa katika mkutano huo. Picha na Nizar Mafita.

Akipongeza Jumuiya Ya Maji Ntomoko Afisa Maendeleo Ya Jamii Ruwasa Mkoa Wa Dodoma Pressila  Mkilanya    Ameseam Ntomko Imekuwa Na Historia Nzuri Ya Kuendesha Huduma Ya Maji Kwa Jamii Huku Akieleza Sababu Za Jumuiya Zingine Za Maji Kushindwa Kufanikiwa

Sauti ya Bi.Pressila  Mkilanya  .

Kwa Upande Wake Mhandisi  Asha Mahamud  Amesema Katika Miradi Ya Maji Kumekuwa Na  Changamoto  Hinyo Kuwapelkeea Kuuna Kamati Za Malalamiko  Ili Kupunguza  Changamoto Hizo

Sauti ya Mhandisi  Asha Mahamud.