Dodoma FM

Okwi akutwa na maambukizi ya virusi vya Corona

12 December 2020, 10:56 am

Jeddah,

Saudi Arabia.

Klabu ya Al-Ittihad imethibitisha kuwa mshambuliaji wake raia wa Uganda Emmanuel Okwi ataukosa mchezo wa leo wa kwanza wa Ligi Kuu nchini Misri dhidi ya Pyramids Fc kutokana na kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19.
Okwi amekuwa nyota wa pili raia wa Uganda kupata maambukizi hayo baada ya Derrick Nsibambi.