Dodoma FM

Hii hapa historia ya zabibu kuingia nchini

27 February 2023, 3:11 pm

Zabibu zinazopatikana jijini Dodoma.Picha na Martha Mgaya

Leo tutaangalia ni jinsi gani tunda la zabibu lilivyoweza kuingia nchini pamoja na historia nzima ya kuhusiana na zabibu.

Na Yusuph Hassani.

Darwesh Said akisimulia.Picha na Martha Mgaya

Darwesh Said ambaye ni mwakilishi wa kikundi cha kutunza mazingira chapakazi anasimulia historia mzima ya kuhusiana na tunda hilo la zabibu linalo patikana jijini Dodoma.