Dodoma FM

Yafahamu makundi yanayopaswa kupatiwa PREP

11 April 2023, 5:17 pm

Dawa aina ya PREP inayo tumika kujikinga dhidi ya maambukizi ya VVU. Picha Yussuph Hassan.

Afisa Tabibu Glory Martin kutoka zahanati ya makole leo akiendelea kuzungumzia makundi hayo.

Na Yussuph Hassan.

PrEP ni matumizi ya dawa za kupunguza makali ya VVU kwa watu wasio na VVU, ili kuzuia upatikanaji wa maambukizi ya VVU, dawa kinga hizo zinatolewa kwa makundi mbalimbali,