Dodoma FM

Aina za ugonjwa wa Ukoma na tiba zake

19 April 2023, 1:19 pm

Mgonjwa mwenye dalili ya ukoma. Picha na kona ya Afya.

Zipo aina mbili za ukoma je ni zipi hizo?

Na Yussph Hassan.

Leo Dkt. Paul Shunda kutoka Wizara ya Afya kitengo cha kuzuia ulemavu anazungumzia juu ya aina za Ugonjwa wa ukoma na tiba zake.