Dodoma FM

Sukari, shinikizo la damu isipotibiwa mapema husababisha matatizo zaidi

13 November 2023, 3:13 pm

Picha ni Dkt. Amina Omary kutoka Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma akifafanua kuhusu magonjwa hayo.Picha na Yussuph Hassan.

Na Yussuph Hassan.

Imeelezwa kuwa endapo Magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu ya damu yasipopatiwa matibabu mapema yanaweza kusababisha magonjwa mengine makubwa.

Magonjwa hayo ni pamoja na ugonjwa wa figo ambapo Dkt. Amina Omary kutoka Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma anafafanua zaidi.