Dodoma FM

Wizi waibuka soko la Machinga Complex Dodoma

8 November 2023, 6:05 pm

Picha ni Soko la Machinga Complex lililopo Bahi road Jijini Dodoma . Picha na Thadei Tesha.

Ni takribani mwaka mmoja sasa tangu kuzinduliwa  kufanya biashara kwa wamachinga ambapo awali walikuwa wakifanyia biashara katika maeneo ya katikati ya jiji la Dodoma.

Na Thadei Tesha.

Baadhi ya wafanyabiashara katika soko  la Machinga Complex jijini Dodoma wamelalamikia tabia ya wizi inayoendelea sokoni hapo jambo ambalo linawapa hasara.

Dodoma Tv imewatembelea baadhi ya wafanyabiashara katika soko hilo ambapo wanasema kuwa pamoja na eneo hilo kuwa fursa kwao kumeibuka tabia ya wizi sokoni hapo jambo ambalo linawapa changamoto.

Sauti za baadhi ya wafanyabiashara.
Picha ni mmoja wa wafanyabiashara sokoni hapo akiongea na Dodoma Tv. Picha na Thadei Tesha.

Dodoma tv inawatafuta viongozi wa soko hili na hapa nakutana na makamu mwenyekiti wa soko hili . Je, anazungumziaje changamoto hii?

Sauti ya makamu mwenyekiti wa soko