Dodoma FM

KILIMO CHA MBAAZI

22 January 2023, 10:04 am

Na; Mariam Kasawa

Licha ya zao la mbaazi kutumika kama matumizi mbalimbali kama mboga , chakula huku zao hili likifundishwa na wataalamu kuwa linaweza kuwa zao la biashara kwa kutengenezea vitu mbalimbali kama uji, supu, biscuti , cake, makande lakini bado watu wengi hawana uelewa juu ya jinsi ya kuzalisha zao hili na matumizi yake.

Hawa ni wakazi wa Matumbulu wakieleza ufahamu wao juu ya zao hili.