Dodoma FM

Wafanyabiashara Sabasaba walalamika kusumbuliwa

15 August 2023, 5:44 pm

Picha ni eneo la soko la Sabasaba ambapo awali kulikuwa na stendi ya daladala. Picha na Thadei Tesha.

Ikumbukwe kuwa kituo cha daladala katika soko hilo kilihamishiwa katika soko la Machinga complex lililopo Bahi road Jijini Dodoma.

Wafanyabishara katika eneo la sabasaba wamelalamika kusumbuliwa na baadhi ya watu wanao dai kupewa eneo hilo kwaajili ya kuuzia nguo za mitumba.

Dodoma Tv imefika katika soko la sabasaba awali palipokuwa kiyuo cha daladala ambapo kwa sasa kiyuo hicho kimehamishwa .

Baaadhi ya wafanyabiashara wa eneo hilo wakapata wasaa wa kuzungumzia hali ya biashara ilivyo kwa sasa.

Sauti za wafanyabiashara.
Picha ni wafanyabiashara wa eneo hilo wakiwa wameweka bidhaa zao huku meza za kuuzia mitumba nazo zikiwa maeneo hayo. Picha na Thadei Tesha.

Mwenyekiti wa soko la sabasaba jijini Dodoma Bw Abdala Makole anafafanua juu ya malalamiko ya wafanyabiasha hao.

Sauti ya Abdala Makole.