Dodoma FM

Jamii yaendelea kusisitizwa kuwapatia watoto lishe bora

8 January 2024, 9:18 pm

Picha ni mtaalamu wa lishe kutoka katika hospitali ya makole jijini Dodoma Bi Frida Mollel akitoa elimu kuhusu lishe kwa watoto. Picha na Thadei Tesha.

Wazazi wanashauriwa juu ya mambo ya kuzingatia katika kuandaa mchanganyiko wa lishe bora unaofaa kwa mtoto.

Na Thadei Tesha.
Jamii imeendelea kusisitizwa kuwapatia watoto lishe bora na kuacha kuwapa chakula kimazoea kwa lengo la kumsaidia mtoto kuwa na afya njema.

Leo mtaalam wa lishe kutoka katika hospitali ya Makole jijini Dodoma Bi Frida Mollel anatufafanulia kwa kina nini maana ya lishe?

Sauti ya Bi Frida Mollel

Aidha hapa anatumia fursa hii katika kuwashauri wazazi juu ya mambo ya kuzingatia katika kuandaa mchanganyiko wa lishe bora unaofaa kwa mtoto.

Sauti ya Bi Frida Mollel