Dodoma FM

Ifahamu ngoma ya Landaa inayochezwa wakati wa mavuno

26 June 2026, 14:52

Landaa; mchezo wa ngoma hii ulichezwa kwenye matukio na sherehe yoyotePicha na Fahari ya Dodoma.

Mwanafahari karibu uweze kufahamu mengi kupitia simulizi na tamaduni za makabila mbalimbali kupitia fahari ya Dodoma.

Na Yussuph Hassan.

Ngoma hii inafahamika kwa jina la Landaa mchezo wa ngoma hii ulichezwa kwenye matukio na sherehe yoyote lakini ngoma hii huchezwa wakati wamavuno wakati wa mapumziko watu hutumia ngoma hii kujiburudisha.