Dodoma FM

Fahamu mbinu bora za kuwafukuza tembo wanapo ingia katika makazi ya watu

26 September 2023, 4:45 pm

Wananchi wanapaswa kufahamu mbinu bora wanazo takiwa kufanya ili kuwafukuza Tembo wanapoingia au kupita karibu na makazi ya watu.Picha na Fahari ya Dodoma.

Lakini je nini wananchi wanapaswa kufanya tembo wanapopita au kuingia katika makazi yao.

Na Yussuph Hassan.

Ukosefu wa mbinu bora za kuwafukuza Tembo wanapo ingia katika vijiji au makazi ya watu umekuwa ukipelekea wanyama hawa kufanya uharibifu ikiwemo kuwadhuru watu wanao wasogelea.