Dodoma FM

Zifahamu sifa za watoto wenye Usonji

4 May 2023, 4:09 pm

Dkt Arapha Aragika kutoka hospitali ya Taifa ya Afya ya akili Mirembe. Picha na Yussuph Hassan.

Watoto wenye usonji pia wanazo sifa mbalimbali kama anavyo ainisha Dkt. Arapha.

Na Yussuph Hassan.

Leo tunaendelea kuzungumzia sifa za watoto wenye usonji, tukiungana na Dkt Arapha Aragika kutoka hospitali ya Taifa ya Afya ya akili Mirembe iliyopo makamo makuu ya Nchi Jijini Dodoma.