Dodoma FM

Zifahamu siri za fimbo za kitemi

22 February 2023, 1:00 pm

Fimbo iliyokuwa inatumika na Mtemi.Picha na Martha Mgaya

Simulizi hii inatufafanulia masuala ya fimbo zilizokuwa zikimilikiwa na watemi wa kabila la wagogo na majaabu ya fimbo hizo.

Na Yusuph Hassan.

Chifu Lazaro Masuma Chihoma kutoka katika kata ya Iyumbu himaya ya Bwibwi jijini Dodoma amesimulia simulizi hiyo ya kusisimua ya kabila la wagogo.