Dodoma FM

Usichojua kuhusu Mtaa maarufu wa Mathius Dodoma

23 March 2023, 6:41 pm

Mtaa wa Mathius jijini Dodoma.Picha na Martha Mgaya

Mtaa wa Mathius ni moja ya mtaa wenye miaka mingi jijini Dodoma, Jina la mtaa wa Mathius limetokana na mzee mathius mwenye asili ya kabila la kigogo fahamu historia yake ikiwa ni mtaa maarufu sana jijini humo.

Na Martha Mgaya.

Mtaa wa Mathius ni moja ya mtaa wenye miaka mingi jijini Dodoma Jina la mtaa wa Mathius linaturudisha miaka 1958 nyuma kabla ya uhuru wa Tanganyika ambapo mzee mathius mwenye asili ya kabila la kigogo alifika kwenye eneo hili kwajili ya shughuli mbalimbali za kiuchumi.

Matoto wa mzee Mathius anaifahamika kwa jina la Steven Mathius.Picha na Martha Mgaya

Steven Mathius ni Mtoto wa Mzee Mathius ambaye anatuelezea namna ya simulizi ya historia mzima ya mtaa huo wa Mathius ilivyokuwa.