Dodoma FM

Ukeketaji na ndoa za utotoni kwenye jamii

3 August 2023, 4:43 pm

Ni vema watoto wapatiwe elimu ya jinsi ya kujilinda wenyewe na jamii ifahamu inamlinda vipi mtoto. Picha na UNFPA.

Utandawazi unatajwa kuwa na ukombozi wa kupunguza vitendo hivi vya ukeketaji na ndoa za utotoni kwenye jamii.

Na Mariam Matundu.

Mariam matundu amezungumza na Bwana Stanley Nyambuya yeye alikuwa anafanya shughuli ya kukeketa mabinti hapo zamani lakini kwa sasa ameacha.