Dodoma FM

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China aliyemaliza muda wake hapa nchini Wang Ke, Ikulu Mkoani Dodoma

4 June 2021, 2:52 pm

Matukio katika picha.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimkaribisha Balozi wa China aliyemaliza muda wake hapa nchini Wang Ke mara baada ya kuwasili Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 4 Juni, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Balozi wa China aliyemaliza muda wake.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na Balozi wa China aliyemaliza muda wake.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Balozi wa China aliyemaliza muda wake hapa nchini Wang Ke wakati wakiagana mara baada ya mazungumzo yao Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Balozi wa China aliyemaliza muda wake hapa nchini Wang Ke akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.