Dodoma FM

Kifahamu chakula kikuu cha kabila la Wasandawe

26 May 2026, 17:41

Kabila hili limejikita katika shughuli za uwindaji wa wanyama porini.Picha na Mtandao.

Leo tupo katika eneo la Farkwa linalo patikana wilayani Chemba Jijini Dodoma ambapo wenyeji wa eneo hili ni wasandawe.

Na Yussuph Hassan.
Leo katika fahari ya Dodoma tunaangazia kabila la wasandawe asili ya chakula chao kabila hili limejikita katika shughuli za uwindaji wa wanyama porini.

Leo tupo katika eneo la Farkwa linalo patikana wilayani Chemba Jijini Dodoma na hapa tumekutana na mzee wa kabila la hilo wasandae hapa anatueleza ulaji wa nyama mizizi na matunda ulivyo tumiwa na watu wa kabila hili hasa katika shughuli za uwindaji.