Dodoma FM

Wananchi Kongogo waridhia mradi wa ujenzi wa skimu za umwagiliaji

21 April 2023, 4:26 pm

Wakazi wa kijiji cha Kongogo wilayani Bahi wakiwa katika mkutano. Picha na Mindi Joseph.

Mradi huo utagharimu Bilioni 5.6 na unakadiriwa kutumia kipindi cha mwaka Mmoja na Miezi sita kukamilika.

Na Mindi Joseph.

Wananchi wa Kijiji cha Kongogo kata ya Babayu Wilayani Bahi wameridhia ujenzi wa Mradi wa skimu za kilimo cha Umwagiliaji kutekelezwa katika Eneo lao kufuatia kuwepo kwa sintofahamu.

Mradi huo Uliombwa na wananchi tangu mwaka 2006 Lakini wasiwasi wao ulichangia sintofahamu hiyo ulikuwa ni huu.

Sauti za wananchi.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Bahi Godwin Gondwe amesema kulitokea changamoto hiyo.

Sauti ya Mkuu wa Wilaya ya Bahi Godwin Gondwe
Wakazi wa kijiji cha Kongogo wilayani Bahi wakiwa katika mkutano. Picha na Mindi Joseph.

Kaimu Mhandisi wa Umwagiliaji Mkoa Wa Dodoma Masry Mboya anaeleza kuhusu ujenzi wa mradi huo kuwa hautaathiri Makazi ya wananchi

Sauti ya Mhandisi wa Umwagiliaji Mkoa Wa Dodoma .