Dodoma FM

Ukosefu wa elimu ya Afya ya uzazi kwa vijana wachangia ukatili

3 May 2023, 1:25 pm

Afisa Mradi kutoka taasisi ya maendeleo ya vijana mkoa wa Dodoma (DOYODO) Lilian Mwaluka. Picha na Dodoma Tv.

Ameeleza nini kifanyike ili kusaidia kundi hilo la vijana kupata elimu hiyo.

Na Alfred Bulahya

Imeelezwa kuwa kukosa elimu ya afya ya uzazi kwa vijana ni miongoni mwa sababu inazosababisha kuendelea kwa vitendo vya ukatili ndani ya jamii.

Hayo yameelezwa na Afisa Mradi kutoka taasisi ya maendeleo ya vijana mkoa wa Dodoma (DOYODO) Lilian Mwaluka, wakati akizungumza katika kipindi cha The Morning Power Show kinachorushwa na Dodoma Tv.

Akifafanua zaidi akiwa katika kipindi hicho Meneja Miradi kutoka taasisi hiyo Bw, Charles Reuben ameeleza nini kifanyike ili kusaidia kundi hilo la vijana kupata elimu hiyo.

Sauti ya Afisa Mradi kutoka DOYODO