Dodoma FM

Yafahamu matumizi sahihi ya PrEP na PEP

10 April 2023, 1:20 pm

Afisa Tabibu kutoka Zahanati ya Makole Dr. Glory akieleza matumizi ya dawa hizo. Picha na Yussuph Hassan.

Inaelezwa kuwa dawa hizi za PrEP na PEP kama zitatumika kwa usahihi zinaweza kuzuia maambukizi ya VVU.

Na Yussuph Hassan.

Imeelezwa kuwa matumizi ya sahihi ya dawa kinga za PrEP na PEP, ni moja wapo kati ya njia salama ya kuzuia maambukizi ya VVU, tunaungana na afisa tabibu kutoka zahanati ya makole akianza na utangulizi wa kuzungumzia dawa kinga hizo.