Dodoma FM

Vijana jijini Dodoma watakiwa kushiriki katika fursa

3 February 2023, 12:35 pm

Vijana ambao wanajishughulisha na shughuli ya kukaanga pamoja na kuuza vitumbua.Picha na Martha Mgaya

Vijana jijini dodoma wametakiwa kushiriki katika fursa mbalimbali zinazowazunguka na kuacha kuona aibu kufanya shughuli hizo ili waweze kupata kipato na kurahisisha shughuli za maisha.

Na Thadei Tesha

Hayo yamesemwa na baadhi ya Vijana ambao wanajishughulisha na shughuli ya kukaanga pamoja na kuuza vitumbua ambapo wamesema shughuli hiyo imewasaidia kwa kiasi kikubwa katika kuendesha maisha yao kwa ujumla.

“Je walianzaje kufanya shughuli hiyo na imewasaidia vipi kujikwamua kiuchumii?”

Sauti za vijana.

baadhi ya vijana wanasema kuwa kupanda kwa gharama za maisha ni nidhamu ya uoga na kushindwa kuweka malengo ni miongoni mwa sababu zinazopelekea baadhi ya vijana kushindwa kujiingiza katioka fursa mbalimbali kwa lengo la kujikwamua kiuchumi.

Sauti ya vijana.