Dodoma FM

Historia ya kilimo cha mpunga wilayani Bahi

21 July 2023, 5:25 pm

Picha ni utayarishaji wa mashamba ya Mpunga katika eneo la Bahi.Picha na Fahari ya Dodoma.

Msimuliaji wetu anaendelea kutufahamisha kuanzishwa kwa mashamba haya na lini yalianzishwa.

Na Yussuph Hassan.

Tunaendelea kuangazia  historia ya wilaya ya Bahi na leo tutafahamu historia ya mashamba ya mpinga katika wilaya hii.