Sababu kocha Dodoma Jiji FC kutoonekana benchi la ufundi
Sababu kocha Dodoma Jiji FC kutoonekana benchi la ufundi
26 September 2025, 16:02
Picha ni msemaji wa timu ya Dodoma jiji Moses Mpunga.Picha na Dodoma jiji.
Na Hamis Makila.
Msemaji wa timu ya Dodoma jiji Moses Mpunga akizungumza na Dodoma redio amesema kuto onekana kwa kocha wao kwenye benchi la ufundi ni kutokana na kanuni zao za ndani.