Dodoma FM

Asili ya ngoma za wagogo

14 April 2023, 3:12 pm

Akina mama toka kikundi cha ukombozi wakicheza ngoma za asili ya kabila la wagogo. Picha na Fahari ya Dodoma.

Ngoma zimeendelea kuwa moja ya urithi wa katika kabila hili la wagogo ka njia njia ya kuburudika katika sherehe mbalimbali.

Na Yussuph Hassan.

Ngoma za wagogo, ngoma hizi ni jadi ya kabila la kabila la wagogo katika shughuli mbalimbali  huchezwa ngoma hizi.

Ngoma hizi hupigwa, katika sherehe, kipindi  cha matambiko,  kipindi cha mavuno, jando na nk.

Huanza na majigambo na wapigaji huanza na midondoko ya taratibu wakifatiwa na waimbaji wenye sauti laini zenye kuburudisha na kufanya hadhira ilohudhuria kumakinika na ngoma hizo.

Clip ngoma na source.

Awali ngoma hizi zilikuwa zikichezwa na wanawake pekee lakini kwa sasa huchezwa na watu wote katika kutunza mila hizo za wagogo.