Dodoma FM

Mazao 13 nchini yatajwa kutumia mfumo wa stakabadhi ghalani

17 August 2023, 2:02 pm

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala nchini Asangye Bangu akiongea na waandishi wa habari Jijini Dodoma.Picha na Mindi Joseph .

Mfumo wa stakabadhi za Ghala umechangia ukusanyaji wa fedha kuwa rahisi kwa Halmashauri na Wakulima.

Na Mindi Joseph.

Jumla ya mazao 13 nchini yametajwa kutumia mfumo wa stakabadhi ghalani ikiwa ni hatua kubwa kutoka mazao machache ndani ya miaka 3 iliyopita. Hii ni kufuatia uhamasishaji wa matumizi ya mfumo huu kwa wananchi.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala nchini Asangye Bangu amebainisha hayo Jijini Dodoma na hapa anaeleza tija ya urasimimishaji wa mfumo huo.

Sauti ya Bw. Asangye Bangu.
Picha ni baadhi ya Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.Picha na Mindi Joseph.

Katika Mwaka wa fedha 2022/23 kilogram milioni 370 zimepita katika mfumo huo.

Sauti ya Bw. Asangye Bangu.