Picha ni kisima kilichotumika na watumwa kunywa maji kinachopatikana katika mtaa wa Kikuyu kilipo chuo cha St . John Jijini Dodoma . Picha na Yussuph Hassan.
Je ni kweli jina la Dodoma lilitokana na tembo kudidimia katika eneo la Kikuyu kilipo chuo cha mtakatifu Yohana leo hii?