Dodoma FM

Muendelezo wa Simulizi Ya Utawala wa Kitemi katika Kabila La Kigogo

7 February 2023, 2:44 pm

Mavazi yake utawala na vitu mbalimbali ambavyo alikuwa akitumia Chifu.Picha na Martha Mgaya

Muendelezo wa Simulizi hii inatuonyesha maswala mazima yanayomuhusu chifu,mavazi yake utawala na vitu mbalimbali ambavyo alikuwa akitumia Chifu wa kabila la Kigogo.

Na Yussuph Hassan.

Chifu Razaro Masuma Chihoma .

Chifu Lazaro Masuma Chihoma kutoka katika kata ya Iyumbu himaya ya Bwibwi jijini Dodoma asimulia simulizi yote hiyo ya kusisimua ya kabila hilo la Kigogo.