Dodoma FM

Jengo alilotumia kamanda wa ANC Komred Mabuya

30 April 2024, 7:03 pm

Picha ni Jengo hilo ambalo lipo wialayani Kongwa Mkoani Dodoma .Picha na fahari ya Dodoma.

Katika mfulizo wa makala hii ya fahari ya Dodoma unafahamu vitu vingi ambavyo vinapatikana katika mkoa huu.

Na Yussuph Hassan.

Bado camera ya Fahari ya Dodoma ipo wialayani Kongwa leo tunalitazama jengo alilo litumia kamanda wa ANC Komred Mabuya je ni nani huyu twende sote tumfahamu zaidi.