Dodoma FM

Wachimbaji wadogo washauriwa kutumia mitambo mipya

5 July 2023, 5:08 pm

Bwana John Shija Mtaalamu wa Madini na Mazingira kutoka katika taasisi ya jilojia na utafiti wa madini akitoa elimu kwa wachimbaji wadogo wa madini. Picha na Fred Cheti.

Moja ya teknlojia ambayo inatajwa kuwa bora na rahisi mabayo wachimbbaji wadogo wa madini wanaweza kuitumia kuchenjulia dhahabu ni CIACIP.

Na Fred Cheti.

Wachimbaji wadogo wa madini aina ya dhahabu wameshauriwa kutumia mitambo mipya kwa ajili ya kuchenjulia dhahabu na kuachana na matumizi ya Mekyuri ambayo si rafiki kwa mazingira.

Hayo yameelezwa Bwana John Shija Mtaalamu wa Madini na Mazingira kutoka katika taasisi ya jilojia na utafiti wa madini wakati akitoa elimu kwa wachimbaji wadogo juu kujifunza kutumia teknlojia nyingine  ambazo ni rahisi na rafiki kwa mazingira.

Sauti ya Mtaalamu wa Madini na Mazingira.
Picha ni mitambo ya kuchenjulia madini . Picha na Fred Cheti.

Moja ya teknlojia ambayo inatajwa kuwa bora na rahisi mabayo wachimbbaji wadogo wa madini wanaweza kuitumia kuchenjulia dhahabu ni CIACIP ambapo Bwana Shija anaielezea zaidi jinsi inavyofanya kazi.

Sauti ya Mtaalamu wa Madini na Mazingira.