Dodoma FM

Wafahamu wapigania uhuru ambao walikaa katika kambi ya Kongwa

18 April 2024, 6:08 pm

Picha ni Askari walio pigania uhuru enzi hizo ambao waliishi katika kambi iliyopo wilayani Kongwa. Picha na Maktaba.

Nini kinapelekea wilaya ya Kongwa kuwa maarufu na Kongwe fuatilia mfululizo wa makala hii ya fahari ya Dodoma uweze kufahamu zaidi.

Na Yussuph Hassan.

Fahari ya Dodoma imetembelea katika wilaya ya Kongwa ili uweze kufahamu zaidi historia ya wilaya hii maarufu inayo patikana katika mkoa wa Dodoma .