Radio Tadio

Uhuru

8 October 2026, 10:04

Wito wa walimu wenye ulemavu Kasulu kwa serikali

Walimu wenye ulemavu katika Halmashauri ya Wilaya Kasulu Mkoani wamesema utatuzi wa changamoto zinazowakabili ni sehemu muhumu ya kuweka mazingira rafiki kwao. Na Hagai Ruyagila Baadhi ya walimu wenye ulemavu Mkoani Kigoma wameiomba Serikali kuchukua hatua za kutatua changamoto zinazowakabili…

1 October 2026, 14:14

Wanahabari watakiwa kuzingatia weledi

Dkt. Raymond Mgeni akizungumza na waandishi wa habari mkoa wa Mbeya(picha na Josea Sinkala) Kutokana na uwepo wa ongezeko kubwa la watu kukubwa na changamoto ya afya ya akili jamii imehimizwa kufanya vipimo mara kwa mara ili kufahamu mwenendo wa…

12 September 2026, 6:44 am

Wanachama HRT Saccos wahimizwa matumizi ya teknolojia

Chama cha Akiba na Mikopo cha HRT Saccos kimeendelea kutoa elimu na mafunzo kwa wanachama wake kuhusu matumizi ya teknolojia kwa lengo lakutoa huduma kwa urahisi na usahihi pamoja na kuendana na kasi ya sayansi na teknolojia kwenye vyama vya…

4 September 2026, 16:46

Mtwara DC yavuka lengo la ukusanyaji mapato kwa asilimia 12

Halmashauri ya Mtwara Vijijini imevuka lengo la mapato kwa mwaka 2025/2026, ikikusanya shilingi bilioni 7.5 dhidi ya bilioni 6.7, sawa na ongezeko la zaidi ya asilimia 12 Na Musa Mtepa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara imefanikiwa kuvuka lengo la ukusanyaji…

31 August 2026, 21:03

Vodacom yajenga madarasa Ihowanja

Shule ya Msingi Ihowanja wilayani Malinyi, mkoani Morogoro, imepata madarasa mawili mapya pamoja na madawati 30 kupitia Vodacom Tanzania Foundation, hatua inayolenga kupunguza uhaba wa madarasa uliokuwa ukiifikia 16 na kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia kwa wanafunzi. Na: Latipha…

30 July 2026, 11:25 am

Kilomita 20 za mateso za wasukuma Olmesera kujenga shule

Wananchi wa kitongoji cha Olmesera kijiji cha Manyire kata ya Mlangarini mkoani Arusha ,wameamua kuchangishana shilingi elfu 70 kwa kila mwanakitongoji ili kuweza kununua eneo ambalo watajenga shule ya msingi na sekondari kwa ajili ya watoto wa kitongoji hicho. Na…

20 May 2026, 15:00

Viongozi wa kamati za mikopo ya 10% wafanya tathmini Uvinza

Kikao cha kamati za mikopo ya asilimia 10 husaidia kuhakikisha uwazi na usahihi katika utoaji wa mikopo kwani viongozi hupitia taarifa mbalimbali za vikundi na waombaji wa mikopo ili kuhakikisha fedha zinawafikia walengwa sahihi wenye sifa zinazotakiwa. Na Mwandishi wetu…

15 May 2026, 15:27

Mil. 214 zawanufaisha walemavu, wanawake, vijana Kasulu

Mikopo ni mojawapo ya njia muhimu zinazosaidia maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika jamii kwa makundi tofauti ya watu ili kuwawezesha kujiletea maendeleo na miongoni mwa makundi yanayonufaika sana na mikopo ni wanawake, vijana na watu wenye ulemavu. Na Hagai…