Radio Kwizera
97.7 MHz
Ngara, Kagera TZ
+255 743 872 983 | +255 710 977 977
online.radiokwizera@gmail.com
https://radiokwizera.co.tz/
97.7 MHz
Ngara, Kagera TZ
+255 743 872 983 | +255 710 977 977
online.radiokwizera@gmail.com
https://radiokwizera.co.tz/
Semagogwa ameahidi kuendelea kufanya kazi kwa bidii ili kuitendea haki tuzo hiyo, huku akisisitiza dhamira yake ya kuiwakilisha vyema sekta ya habari pamoja na wanawake na wanaume wa Kanda ya Ziwa na Tanzania kwa ujumla. MWANZA Mwandishi wa habari wa…
May 15, 2026, 12:50 pm
Tukio hilo lilitokea Mei 12 mwaka huu kijiji cha Nyarututu Kata ya Bwanga Wilayani Chato ambapo marehemu alikutwa amefariki nyumbani katika mazingira ambayo Jeshi hilo limebaini ni yakughushi. Na Clement Shawishi – GEITA Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia…
May 15, 2026, 12:37 pm
Zaidi ya miche bora ya kahawa milioni 20 hadi 22 imezalishwa na kugawiwa kwa wakulima nchini ikiwa ni jitihada za kuongeza uzalishaji wa zao hilo pamoja na kukuza uchumi wa wananchi wanaotegemea kilimo cha kahawa. Na Enock Yoronimo- Bukoba, KAGERA…
May 12, 2026, 8:30 pm
Watumishi hao wametakiwa kuzitunza pikipiki hizo na kuzitumia kwa malengo yaliyokusudiwa, kwa kuzingatia umuhimu wake katika kuleta maendeleo. Na Enock Yoronimo- Bukoba, KAGERA Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba, Fatina Hussein Laay, amekabidhi pikipiki kwa watumishi wa Idara…
May 12, 2026, 7:41 pm
Jengo la choo na bafu vimefungwa kwa matumizi na kubomolewa na maafisa wa halmashauri ili kuepusha madhara hali inayowalazimu kutumia vyoo vya watu majumbani. Na Samwel Masunzu – Kibondo, KIGOMA Wajasiriamali na wanaofanyabiashara kwenye soko la stendi ya zamani kata…
May 12, 2026, 4:31 pm
Lengo la kushirikisha jamii ni kupata taarifa sahihi za uharifu na kubaini matishio mapema ya kiusalama badala ya kufanya kazi peke yao. Na Shafiru Yusuph- Muleba, KAGERA Jeshi la Polisi nchini limesema uwepo wa Polisi Jamii imesaidia kupunguza vitendo vya…
May 12, 2026, 4:15 pm
Mashirika yanayohusika na Ustawi wa Wanyama, Serikali za mitaa na wadau wengine wametakiwa kuhakikisha wanafuatilia na kuwachukulia hatua za kisheria wanaovunja haki za Wanyama Na Clement Shawishi- GEITA Wananchi Mkoani Geita wamekumbushwa kutimiza wajibu wao wa kisheria kuthamini na kutunza…
May 12, 2026, 3:49 pm
Kufikia mafanikio hayo ni juhudi kubwa ambazo wadau wamezifanya ikiwemo halmashauri ya wilaya ya Kibondo, Shirika la UNDP pamoja na shirika la kuhudumia viwanda Vidogo SIDO Na Samwel Masunzu- Kibondo, KIGOMA Baadhi ya wafugaji wa samaki wilayani Kibondo mkoani Kigoma…
May 12, 2026, 3:40 pm
Mradi huo unaojengwa kwa mapato ya ndani unatarajiwa kuanza kutumika kwa awamu ya kwanza mwezi Juni 2026 huku awamu ya pili pamoja na eneo lote la soko ikikamilika Septemba 2026. Na Shafiru Yusuph- Muleba, KAGERA Mamlaka ya Serikali za Mitaa…
May 12, 2026, 9:38 am
Pendekezo hilo la kutoa shilingi 1,000 kila mwezi kama ada ya taka limetolewa na Meya Acton Rwankomezi kutokana na kutozolewa taka kwa wakati sababi ikiwa ni ukosefu wa magari ya kubeba taka Na Enock Yoronimo- Bukoba, KAGERA Kutokana na changamoto…
May 12, 2026, 7:20 am
Awali walikisia kukusanya tani 5,816 na kukusanya ushuru shilingi milioni 500 hivyo ongezeko hilo limetokana na bei ya kahawa sokoni pamoja na usimamizi mzuri wa makusanyo. Na Shafiru Yusufu- Muleba, KAGERA Halmashauri ya wilaya ya Muleba mkoani Kagera imeweza kukusanya…
Radio Kwizera is a regional community radio established in 1995 by the Jesuit Refugee Services (JRS) in collaboration with the United Nations High Commission for Refugees (UNHCR) and a catholic diocese of Rulenge-Ngara. It was created as a podium for the exchange of the information among the refugees, the organizations and Governments working with them. Radio Kwizera was established under the vision of Peace and Development (To lead a peaceful and prosperous life) and the mission to seek and restore hope and socio- conomic prosperity in northwestern Tanzania and its environs that host refugees from Great Lakes Region of Africa. Through peace, reconciliation, education, and development programs, Radio Kwizera will empower its audience with values, knowledge, and skills they need to lead a peaceful nd prosperous life.