Radio Kwizera

Recent posts

April 28, 2026, 3:21 pm

Semagogwa aibuka kinara sekta ya habari 2026

Semagogwa ameahidi kuendelea kufanya kazi kwa bidii ili kuitendea haki tuzo hiyo, huku akisisitiza dhamira yake ya kuiwakilisha vyema sekta ya habari pamoja na wanawake na wanaume wa Kanda ya Ziwa na Tanzania kwa ujumla. MWANZA Mwandishi wa habari wa…

April 28, 2026, 1:37 pm

Ngara kuuenzi Muungano

Shughuli zilizofanyika ni pamoja na usafi wa mazingira, mazoezi na upandaji miti katika Shule ya Msingi Ngara Mjini, ikiwa ni sehemu ya kuenzi na kuendeleza mshikamano miongoni mwa wananchi. Na David Mwaluseke- Ngara, KAGERA Baada ya maadhimisho ya miaka 62…

April 28, 2026, 1:06 pm

Mitazamo hasi kuhusu malaria yakemewa Muleba

Wananchi wamehimizwa kuzingatia ushauri wa wataalam wa afya, kutumia vyandarua vyenye viuatilifu pamoja na kudumisha usafi wa mazingira ili kupunguza mazalia ya mbu. Na Shafiru Yusuph- Muleba, KAGERA Wakazi wa Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera wametakiwa kuondoa mitazamo hasi pindi…

April 28, 2026, 11:54 am

Serikali yashauriwa kufufua vivutio vya utalii kukuza uchumi

Mkurugenzi wa Chuo cha Utalii Kagera kilichopo Biharamulo, Bw. Stanley Thomas amesema uwekezaji katika vivutio hivyo unaweza kusaidia kuongeza mapato ya ndani pamoja na fedha za kigeni Na William Mpanju- Biharamulo, KAGERA Serikali imeshauriwa kuchukua hatua za makusudi katika kufufua…

April 23, 2026, 6:28 pm

Vyama vya ushirika Geita vyatakiwa kulipa madeni kwa wakati

Ucheleweshaji wa malipo kwa wadau wa Ushirika kunadhoofisha jitihada walizonazo katika uzalishaji malighafi na bidhaa Na Clement Shawishi -GEITA Serikali imeagiza Vyama vya Ushirika Mkoani Geita kuwajibika kulipa kwa wakati madeni vinayodaiwa na wakulima na Kampuni mbalimbali zinazofanya kazi na…

April 22, 2026, 3:52 pm

Uchimbaji mgodi wa Msasa kuanza baada ya ukaguzi

Shughuli za uchimbaji zitarejea mgodini hapo baada ya ukaguzi wa Wizara ya Madini kukamilika na kwamba Wachimbaji hawanabudi kuwa na subira na utulivu wakati ukaguzi huo. Na Clement Shawishi – GEITA Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigela amesema zoezi…

April 21, 2026, 3:46 pm

Polisi Kigoma wavunja mtandao wa uhalifu kwa msako mkoa mzima

Katika maeneo ya Mnanila, Manyovu wilayani Buhigwe Askari Polisi walifanikiwa kuwakamata watu wawili wa tukio la mauaji na unyang’anyi wa pikipiki kwa bodaboda aliyeuwawa hivi karibuni Na Naomi Milton Jeshi la Polisi mkoani Kigoma katika misako na operesheni mbalimbali zinazoendelea…

April 20, 2026, 7:26 pm

Geita yang’ara kiuchumi kupitia sekta ya madini, uwekezaji

Uwekezaji katika sekta ya madini umechangia pakubwa sekta hiyo kuongeza pato la Mkoa wa Geita ambalo kwa sasa ni zaidi ya Shilingi Trillion 9 kwa mwaka. Na Clement Shawishi- GEITA Imeelezwa kuwa zaidi ya 40% ya uzalishaji wa dhahabu Mkoani…

April 20, 2026, 7:10 pm

Vyombo vya sheria vyapewa mafunzo kukabili uharibifu wa misitu

Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa TFS Kanda ya Ziwa, Ebrandino Mgiye, amesisitiza kuwa utoaji wa elimu kwa wananchi ni nyenzo muhimu katika kupunguza vitendo vya uhalibifu wa misitu. Na William Mpanju- Biharamulo, Kagera Maafisa wa Jeshi la Uhifadhi kutoka Wakala wa…

April 20, 2026, 7:01 pm

Wanawake FPCT Kakonko waanzisha mradi wa nyumba ya kupangisha

Mradi huo utagharimu shilingi milioni 10 ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kuongeza kipato chao ndani ya kanisa ambapo mradi umefikia hatua ya msingi. Na Samwel Masunzu- Kakonko, KIGOMA Wanawake katika kanisa la Free Pentecostal Church FPCT Kakonko mjini mkoani…

Radio Kwizera

Radio Kwizera is a regional community radio established in 1995 by the Jesuit Refugee Services (JRS) in collaboration with the United Nations High Commission for Refugees (UNHCR) and a catholic diocese of Rulenge-Ngara. It was created as a podium for the exchange of the information among the refugees, the organizations and Governments working with them. Radio Kwizera was established under the vision of Peace and Development (To lead a peaceful and prosperous life) and the mission to seek and restore hope and socio- conomic prosperity in northwestern Tanzania and its environs that host refugees from Great Lakes Region of Africa. Through peace, reconciliation, education, and development programs, Radio Kwizera will empower its audience with values, knowledge, and skills they need to lead a peaceful nd prosperous life.