Radio Tadio

Uhuru

15 May 2026, 15:08

Idydc Microcredit yawa mkombozi kwa wajasiriamali Ifunda

“Mkopo kutoka IDYDC umesaidia kusomesha watoto na kukuza Biashara” Na Hafidh Ally Wananchi wa Kijiji cha Ifunda Wilaya ya Iringa wameishukuru Taasisi ya Utoaji Mikopo ya IDYDC Microcredit kwa kuwapatia Mikopo iliyowasaidia kuanzisha biashara na kujikwamua kiuchumi. Wakizungumza na Nuru…

13 May 2026, 20:18

Wananchi Kibaoni walalamikia ubovu wa barabara

Wananchi wameiomba serikali kukarabati barabara hiyo haraka ili kuboresha mawasiliano na shughuli za kiuchumi. Na Katalina Liombechi Wananchi wa Kata ya Kibaoni katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara wameiomba serikali kutatua haraka ubovu wa barabara ya kuvuka reli kuelekea Uwanja…

30 April 2026, 7:34 pm

Watumishi wa mahakama wafikishwa kizimbani Geita

Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa mkoa wa Geita imeendelea kuchukua hatua mbalimbali za kisheria kwa kufikisha mahakamani watuhumiwa wa makosa mbalimbali yanayofanyiwa uchunguzi. Na: Ester Mabula Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Geita imewafikisha…

April 28, 2026, 3:21 pm

Semagogwa aibuka kinara sekta ya habari 2026

Semagogwa ameahidi kuendelea kufanya kazi kwa bidii ili kuitendea haki tuzo hiyo, huku akisisitiza dhamira yake ya kuiwakilisha vyema sekta ya habari pamoja na wanawake na wanaume wa Kanda ya Ziwa na Tanzania kwa ujumla. MWANZA Mwandishi wa habari wa…

14 April 2026, 19:57

Kaya 18 zanufaika na maji ya mkopo

Shirika la IDYDC limefanikiwa kuwapatia maji ya mkopo wananchi wa Mgera ambao walikuwa wakitembea umbali mrefu kufuata huduma ya maji mabondeni. Na Hafidh Ally Jumla ya kaya 18 za kijiji cha Mgera kilichopo kata ya Kiwele Wilaya ya Iringa zimenufaika…

3 April 2026, 10:26

IDYDC yatatua changamoto ya maji Mangawe

Wananchi wa Kijiji cha Mangawe kilichopo Jimbo la Ismani wanatarajia kunufaika na mradi wa maji ya mkopo usiokuwa na riba. Na Hafidh Ally Shirika lisilo la kiserikali la Idydc Mkoani Iringa kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi…

29 March 2026, 16:07

IDYDC kuwakopesha maji wananchi Mikong’wi

Changamoto wa upatikanaji wa huduma ya maji Katika Kijiji cha Mikong’wi imepelekea Uongozi wa kijiji hicho kuwakaribisha Shirika la IDYDC kuwapatia maji ya Mkopo. Na Hafidh Ally Wananchi wa Kijiji cha Mikong’wi Kilichopo Kata ya Kising’a Wilaya ya Iringa Vijijini…

25 February 2026, 16:05

Usafiri baharini washuka, safari za anga zapaa Zanzibar

Na Berema Suleiman. Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar imesema jumla ya mienendo ya vyombo vya baharini kwa mwezi wa Januari 2026 imefikia 1,211, ikiwa ni upungufu wa asilimia 35.6 ikilinganishwa na mienendo 1,879 iliyorekodiwa mwezi Januari 2025. Akiwasilisha…