Radio Tadio

Uhuru

14 Aprili 2026, 19:57

Kaya 18 zanufaika na maji ya mkopo

Shirika la IDYDC limefanikiwa kuwapatia maji ya mkopo wananchi wa Mgera ambao walikuwa wakitembea umbali mrefu kufuata huduma ya maji mabondeni. Na Hafidh Ally Jumla ya kaya 18 za kijiji cha Mgera kilichopo kata ya Kiwele Wilaya ya Iringa zimenufaika…

3 Aprili 2026, 10:26

IDYDC yatatua changamoto ya maji Mangawe

Wananchi wa Kijiji cha Mangawe kilichopo Jimbo la Ismani wanatarajia kunufaika na mradi wa maji ya mkopo usiokuwa na riba. Na Hafidh Ally Shirika lisilo la kiserikali la Idydc Mkoani Iringa kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi…

29 Machi 2026, 16:07

IDYDC kuwakopesha maji wananchi Mikong’wi

Changamoto wa upatikanaji wa huduma ya maji Katika Kijiji cha Mikong’wi imepelekea Uongozi wa kijiji hicho kuwakaribisha Shirika la IDYDC kuwapatia maji ya Mkopo. Na Hafidh Ally Wananchi wa Kijiji cha Mikong’wi Kilichopo Kata ya Kising’a Wilaya ya Iringa Vijijini…

25 Febuari 2026, 4:05 um

Usafiri baharini washuka, safari za anga zapaa Zanzibar

Na Berema Suleiman. Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar imesema jumla ya mienendo ya vyombo vya baharini kwa mwezi wa Januari 2026 imefikia 1,211, ikiwa ni upungufu wa asilimia 35.6 ikilinganishwa na mienendo 1,879 iliyorekodiwa mwezi Januari 2025. Akiwasilisha…

23 Febuari 2026, 12:29 mu

Wafanyakazi wapatiwa mafunzo ya kujikinga na majanga

Wafanyakazi wa kampuni ya Costig Holdings ltd iliyopo wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kujua wajibu wao wawapo kazini pamoja na kuzingatia walichofundishwa na wataalum mbalimbali ili kuongeza uzalishaji zaidi. Katika mafunzo hayo wataalumu kutoka sekta mbalimabli wakiwemo maafisa kutoka NSSF,…

19 Febuari 2026, 08:46

Baraka FM yapewa tuzo utengenezaji maudhui ya mahakama

Kwa muda mrefu Baraka fM imekuwa ikitoa vipindi na taarifa mbalimbali zinazolenga kuelimisha jamii kuhusu sheria, taratibu za kimahakama na utoaji wa haki, hivyo kusaidia kuongeza uelewa wa wananchi na kuimarisha ushirikiano kati ya Mahakama na vyombo vya habari.‎‎Na Hobokela…

16 Januari 2026, 09:37

Mwalimu afia ndani ya nyumba, mwili wake waharibika vibaya

Mwili wa marehemu Zainabu Mwalyepelo umechukuliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya uchunguzi zaidi baada ya kukutwa ndani akiwa amefariki wiki tatu zilizopita. Na Ezekiel Kamanga Simanzi zimetawala kwa wakazi wa Mtaa wa Igodima Kata ya Iganzo Jijini Mbeya…

24 Novemba 2025, 12:54

Ukeketaji vigoli, jinamizi linaloitesa Kilindi

Na Saa Zumo Ukeketaji kwa wasichana vigoli wilayani kilindi mkoani Tanga Unafanyika kipindi ambacho Msichana amevunja ungo, na anakutana na shughuli ya awali ya kukeketwa, kisha kuchezewa sherehe ya unyago kwa ajili ya maandalizi ya kuingia katika hatua ya ukubwa…