Dodoma FM

Mkakati wa kukabiliana na ukatili dhidi ya watoto

6 May 2024, 6:14 pm

WHO inasema hakuna udhuru wowote kwa ukatili dhidi ya Watoto.Picha na UNICEF

Nini kinapaswa kufanyika ili kukomesha ukatili dhidi ya watoto?

Na Mwandishi wetu.
Leo tunaangazia suala la maadili katika jamii Mikakati ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kukabiliana na Mmomonyoko wa Maadili na Ukatili Dhidi ya Watoto.