Dodoma FM

Yafahamu matibabu ya Ugonjwa wa surua

27 April 2023, 3:41 pm

Chanjo ya ugonjwa wa surua hutolewa maalum kwaajili ya kumkinga mtu hususan watoto dhidi ya ugonjwa huo. Picha na Yussup Hassan.

Mratibu wa Huduma za Chanjo Halmashauri ya Jiji la Dodoma Victor Kweka leo anazungumzia matibabu ya ugonjwa huo.

Yussuph Hassan.

Bado tunaendelea kufahamu kwa kina juu ya ugonjwa wa surua, ni ugonjwa unaosababishwa na virusi.

Ugonjwa wa surua unaweza kumpata mtu wa rika lolote, ambapo unaweza kusababisha kifo endapo mtu  huyo hatopatiwa matibabu kwa wakati.