Dodoma FM

Wananchi waeleza umuhimu na faida za vikundi

18 July 2023, 6:30 pm

Wanawake wengi wanaeleza jinsi vikundi hivyo vilivyo wasaidia kujikwamua kiuchumi.Picha na Aisha Shaban.

Baada ya kuwepo kwa mfululizo wa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa kujiunga katika vikundi mbalimbali vya kuweka na kukopa sasa wananchi wameelewa umuhimu wa vikundi hivyo .

Na Aisha Shaban.

Baadhi ya wananchi jijini Dodoma wameeleza juu ya umuhimu wa vikundi  vya kuweka akiba na kukopa jinsi vinavyo wasaidia kujikwamua kiuchumi.

Dodoma Tv imezungumza na baadhi ya wananchi juu ya umuhimu wa kujiunga katika vikundi hivyo nao wamekuwa na haya ya kusema.

Sauti za wananchi.
Bi Khadija kiongozi wa kikundi cha kuweka na kokopa katika soko la Majengo Jijini Dodoma. Picha na Aisha Shaban.

Bi Hadija ni kijumbe kutoka katika kikundi cha Super woman kilichopo majengo sokoni anasema kupitia kikundi Hicho wameweza kuwasaidia akina mama kujikwamua kiuchumi kwa kupeana mikopo ikiwa ni pamoja na kutatua chagamoto mbalimbali za kimaisha.

Sauti ya kijumbe .