Radio Tadio
12 October 2026, 17:50
Wafugaji wametakiwa kushirikiana na maafisa wa mifugo kupata ushauri wa kitaalamu na kuhakikisha mifugo yao inapata chanjo, tiba na kinga dhidi ya magonjwa kwa wakati ili kupunguza vifo na hasara katika shughuli za ufugaji. Na Victor Chigwada. Wafugaji wametakiwa kuchukua…
7 November 2023, 2:19 pm
Katika kudumisha uzalendo kwa wananchi wa Tanzania, vijana 99 wa kata ya Mfumbi wamefuzu mafunzo ya jeshi la akiba maarufu kama mgambo wilayani Makete mkoani Njombe lengo likiwa ni kuimarisha ulinzi na usalama kwa jamii. Na mwandishi wetu. Mkuu wa…