Dodoma FM

Zifahamu dalili za hatari kwa mama mjamzito

8 May 2023, 2:59 pm

Dkt Abdallah Majaliwa kutoka hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma . Picha na Yussuph Hassan.

Je ni dalili zipi hizo ambazo ni hatari kwa mama mjamzito?

Na Yussuph Hassan.

Leo tunazugumzia dalili hatari kwa Mama mjamzito ambapo Dkt Abdallah Majaliwa kutoka hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma anaeleza kuhusu dalili hizo.