Dodoma FM

Ugonjwa wa ukoma ni nini

17 April 2023, 1:55 pm

Ugonjwa huu unaambukizwa kwa njia ya hewa kutoka kwa mtu alie na ugonjwa huu kwenda kwa mtu ambae hana hana. Picha na Yussuph Hassan.

Na Yussuph Hassan.

Leo tunazungumzia ugonjwa wa ukoma ambao, ugonjwa huo unaambukizwa kutoka kwa mtu aliyeathirika kwenda kwa mtu mwingine kwa njia ya hewa.

Dkt. Paul Shunda kutoka Wizara ya Afya kitengo cha kuzuia ulemavu unaotokana na ukoma anaanza na utangulizi juu ya ugonjwa huo.